Genesis 3:1-2
Kuanguka Kwa Mwanadamu
1 aBasi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa porini ambao Bwana Mwenyezi Mungu aliwafanya. Nyoka akamwambia mwanamke, “Ati kweli Mungu alisema, ‘Kamwe msile matunda ya mti wowote wa bustanini’?” 2 bMwanamke akamjibu nyoka, “Tunaweza kula matunda ya miti iliyoko bustanini,
Copyright information for
SwhKC